Muhtasari Mahubiri Siku ya Pili
MUHTASARI WA SIKU YA 2 Mada: Kusimama katika Nafasi ya Mungu na Kutembea katika Baraka za Kimungu Siku ya 2 ilijumuisha mafundisho yenye nguvu kutoka kwa Mchungaji James Commey na Mchungaji Jens Garnfeldt kutoka Denmark, ikisisitiza nafasi yetu ya kiroho, mamlaka, na baraka tunazopokea katika Kristo. Lengo kuu lilikuwa kuelewa ni nani sisi katika Mungu, kutembea katika kusudi lake, na kusimama imara katika nafasi ya kiroho aliyotupa. 1. MUNGU ANA NAFASI NA KUSUDI KWAKO (Mchungaji James Commey) Akirejelea Waefeso 2:6-7, Joshua 1:6, na Esta 4:14, Mchungaji Commey aliwafundisha waumini kuwa Mungu amepanga nafasi ya kipekee kwa kila mtu katika maisha
Ibada ya Jumapili 28/09/2025
MAMBO YANAYOONDOA FURAHA YA WOKOVU Mtume na Kiongozi wa Kiroho – Noel Kapinga Wapendwa, furaha ya wokovu ni zawadi kutoka kwa Mungu. Ni ile amani ya ndani, furaha ya kiungu, inayotutia nguvu kutembea kwa ujasiri mbele za Muumba wetu. Lakini yapo mambo ambayo yanaweza kusababisha furaha hii kufifia moyoni mwa muumini. Kwanza, dhambi huiba furaha. Mwanamume au mwanamke anapotenda dhambi mbele za Mungu, ujasiri mbele ya kiti cha neema hupotea. Dhambi hututenga na Mungu, na ushirika unapovunjika, furaha huondoka. Pili, moyo ulioumia hupoteza furaha. Mithali 4:23 “Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo, Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima”. inatukumbusha tulinde
Ibada ya Jumapili 21/09/2025
SOMO: KUTENDA, KUONGEA NA KUFIKIRI KWA KUFUATA MAFUNDISHO YA MUNGU Mchungaji Aimana Dominick – Kanisa la Efatha Mwenge Yohana 20:22 “Akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.” Wapendwa, kipimo ambacho umemgeukia Mungu ndicho kipimo ambacho atamimina nguvu Zake na furaha Yake ndani ya maisha yako. Hivyo basi, fanya uamuzi wa kumgeukia Mungu kwa asilimia mia moja ili upokee furaha Yake kamili. Mbinguni kumeingiza majira mapya, majira ya kiungu. Katika majira haya mapya, mbingu inatarajia kuona mambo mapya katika maneno yako, katika matendo yako, na katika mawazo yako. Mbingu inatarajia kuwa maneno yako, matendo yako, na mawazo yako yaendane na
Ibada ya Jumapili 14/09/2025
UJUMBE: NJOONI KWA KRISTO MPATE PUMZIKO Mchungaji Aimana Dominick, Kanisa la Efatha Mwenge Dar es Salaam Mathayo 11:28 “Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.” Pumziko la kiungu si sawa na pumziko la kidunia. Pumziko la Mungu lipo kila siku, kila wakati, na kila mahali. Ni tofauti na pumziko la kidunia ambalo hudumu kwa muda mfupi tu. Pumziko la kiungu hubeba furaha na amani ya Mungu. Kwa hiyo, lolote linalokusumbua au kukulemea leo, hakikisha unaliweka mikononi mwa Yesu Kristo, kwa maana anakualika kulingana na Neno lake. Hukumu na kukata tamaa havitokani na Mungu. Leo hii, baada
Ibada Ya Jumapili – 29.06.2025
NGUVU YA MSALABA NA MSAMAHA Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Nguvu ya Msalaba 1Wakorintho 1:18 “Kwa maana neno la msalaba kwao waliopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.” Halleluya! Wapendwa, Biblia inasema neno la msalaba kwa waliopotea ni upuzi! Lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nini? Ni nguvu ya Mungu! Wacha nikuambie, wokovu ni safari, sio hadithi. Wale wanaoutafakari wokovu siku zote, wanaona ukuaji kiroho, wanaona ukuaji kiakili, na hata kiuchumi. Lakini wale wanaopuuza wokovu, hata kama wanajitangaza wameokoka maisha yao yanadidimia siku baada ya siku. Yesu alisema, “Mtu akitaka kunifuata ajitwike msalaba wake anifuate.”
The characteristics of the children of God
Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira Seeking the Kingdom of God: Matthew 6:33 – “But seek first His kingdom and His righteousness, and all these things will be given to you as well.” God’s people have the character of seeking God at all times. Jesus showed us in the “Lord’s Prayer” that we should desire His Kingdom to come and His will to be done here on earth. Ephesians 2:19 – “Consequently, you are no longer foreigners and strangers, but fellow citizens with God’s people and also members of His household.” When we worship God and live according to the
The truth that is in your heart
TOPIC: Psalm 51:6 – “Behold, You desire truth in the inward parts, and in the hidden part You will make me to know wisdom.” There is nothing worse than having your heart condemned by sin or a certain habit that you know deep inside you have, yet you harden your heart and insist, “No, I am fine.” Reach a point where you decide to acknowledge the conviction in your heart—that the habit you have is not right—so that you can break free from it. When you reach a place where you can stand in the truth that speaks within your
Testimony
Her name is Anjela Anthony, and she thanks God for the great things He has done for her. In 2016, Anjela was blessed with the grace to purchase a plot of land and build a house with four (4) rooms. Later, while she was at church, the servant of God, Apostle and Prophet, gave her a gift of $100 and told her to go and build another house. Anjela also thanks God once again. When she attended a gathering, the servant of God, Stefan, was preaching and emphasizing that if there is something you feel in your heart that you
Title: Blessing
Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira A. Human ownership; We cannot talk about Blessings without understanding the position of man; A person’s position will determine what that person can own. Genesis 1:26-27 “And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth. So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and
How does God want us to be?
When we talk about the year of possession, we need to identify who the owner is. The Bible says, “The heavens, the earth, and all that fills them belong to the Lord.” If God is the owner, you must know HIM and be with Him to possess anything. Someone else who can give you possession is the devil, but he is not the true owner; rather, he is a thief. The devil steals and possesses stolen things. If you belong to the devil, you may possess things, but you will be a thief. The Foundation of How You Should Be