- This event has passed.
Kusanyiko Kuu 2025
October 6, 2025 - October 12, 2025
Free

Mataifa Yanakusanyika Tanzania!!!
Kutoka Sweden, Denmark, Botswana, Afrika Kusini na Kenya, watumishi wa Mungu wenye nguvu wanaungana na Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira kwa ajili ya Kusanyiko Kuu la wana Efatha 2025.
Mafundisho yatakayobadili maisha yako kutoka kwa:
Tarehe: 6 – 12 Oktoba, 2025
Mahali: Precious Centre, Kibaha β Tanzania
Kwa maelezo zaidi: (+255) 713 248 998