Latest Past Events

Ibada ya Shukrani

Efatha Church worldwide

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii, YouTube na Facebook, Instagram na Twitter. Kwa maelezo Zaidi tupigie simu +255 713 248 998

Free

Kusanyiko Kuu 2025

Precious Centre Kibaha Coast Region

Mataifa Yanakusanyika Tanzania!!! Kutoka Sweden, Denmark, Botswana, Afrika Kusini na Kenya, watumishi wa Mungu wenye nguvu wanaungana na Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira kwa ajili ya Kusanyiko Kuu la wana Efatha 2025. Mafundisho yatakayobadili maisha yako kutoka kwa: Mchungaji Stefan Edefors- Sweden Dkt. Jens Garnfeldt & Rev. Dr. James Commey – Denmark Mtume Dr. Enock Sitima – Botswana AskofuThabo Masenya – South Africa Askofu Charles Kariuki – Kenya Tarehe: 6 - 12 Oktoba, 2025 Mahali: Precious Centre, Kibaha – Tanzania Kwa maelezo zaidi: (+255) 713 248 998

Free