MAHUBIRI NA SHUHUDA

Mahubiri Ka Kuvuka Mwaka Mpya – 31/12/2025

KANISA LA EFATHAMTUME NA NABII: JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Jiangalie mwenyewe: je, kweli unastahili kuwa hapa leo? Je, wewe ni bora kuliko wale waliokufa? Inaniletea machozi kuona tunavuka mwaka mmoja kwenda...

Kutafuta Shilingi Iliyopotea.

Mhubiri: Askofu Thabo Masenya Kutoka Afrika Ya Kusini Luka 15:8-10 “Au kuna mwanamke gani mwenye shilingi kumi, akipotewa na moja, asiyewasha taa na kufagia nyumba, na kutafuta kwa bidii hata...

Yesu Chanzo Cha Amani Na Uponyaji Wetu

Mhubiri: Mtume Na Nabii Josephat Elias Mwingira 1.    UTANGULIZI Waefeso 2:13-18 “Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo. Kwa maana yeye...

Umoja Katika Kanisa

MHUBIRI: Askofu Thabo Masema, Afrika Kusini Lazima uelewe kwamba ili huduma iwe na ufanisi, ni lazima kuwe na umoja kufanya kazi pamoja katika huduma. Ili kanisa liweze kukua na kuwa...

Mtazamo Wako Ndio Utakaoamua Hatma Yako

Mhubiri: Askofu Charles Kariuki Kenya UTANGULIZI Inawezekana kuna mambo yaliyotokea kwa ajili yako ambayo si mazuri katika siku hii, lakini mimi kama balozi wa mbinguni ninakutangazia kwamba ijumaa hii utaifurahia....

Utambulisho Wa Mwana Wa Mungu

Mhubiri: Askofu Thabo Masenya Kutoka Afrika Ya Kusini Neno: Kumbukumbu la Torati 28:1-14 UTANGULIZI Baraka si neno tu tunalotamka ni hali ya kiroho. Unaposema "umebarikiwa," unamaanisha umebeba roho katika maisha...

Umuhimu wa Ushirikiano Katika Kanisa la Kristo

Mhubiri: Askofu Charles Kariuki (Kenya) Neno: 1 Wakorintho 12:5-7 UTANGULIZI Kila mmoja wetu anahitaji kuelewa nafasi yake na kazi yake ndani ya kanisa. Ukilijua hili, litabadilisha maisha yako. Ukihaulielewa kanisa,...

Kaa Katika Nafasi Yako ya Upendo wa Mungu

Mhubiri: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Utangulizi: Yeye aliye mnyonge akasema, “Nina nguvu.” Kusanyiko hili linakusudiwa kuweka alama katika maisha yako na kuunda mustakabali mwema kwako. Ukikaribia Bwana wa...

Bonde la Mifupa Mikavu

Mhubiri: Askofu Charles Kariuki - Kutoka Kenya MAANDIKO: Ezekieli 37:1-13 “Mkono wa Bwana ulikuwa juu yangu, naye akanichukua nje katika roho ya Bwana, akaniweka chini, katikati ya bonde; nalo limejaa...

Weka Nafsi Yako Mahali Sahihi

Mhubiri: Askofu Charles Kariuki - Kutoka Kenya Utangulizi: Tulio okoka ni kanisa la Yesu Kristo; kanisa ni wakala pekee aliyepewa mamlaka ya kuonyesha nguvu za Mungu duniani. Hivyo, hali ya...

Kusimama Katika Nafasi Zetu

Mhubiri: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira UTANGULIZI Wapendwa katika Bwana, leo tunajifunza kuhusu kusimama katika nafasi zetu tulizopewa na Mungu. Kila mwanadamu ameumbwa akiwa na nafasi yake maalum mbele...

Muhtasari Mahubiri Siku ya Pili

MUHTASARI WA SIKU YA 2 Mada: Kusimama katika Nafasi ya Mungu na Kutembea katika Baraka za Kimungu Siku ya 2 ilijumuisha mafundisho yenye nguvu kutoka kwa Mchungaji James Commey na...