Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Kanisa la efatha

Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwekwa wakfu na Mtumishi wa Mungu Dr. Morris Cerrulo

KUHUSU KANISA LA EFATHA

Efatha maana yake funguka Marko 7:34

Kanisa la Efatha, zamani (Huduma ya Efatha) lenye msingi wa kitume na kinabii, lilianzishwa mwaka 1996 na kuandikishwa kisheria kama huduma hapa Tanzania mwaka 1997. Mwaka 2021 likapata usajili wa kanisa. Kanisa limeasisiwa na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, ambaye ndiye Mtume mkuu wa kanisa hili, ambalo linakua kwa kasi hapa Tanzania na nje ya Tanzania. Kanisa la Efatha ni maono aliyopewa mtumishi wa Mungu, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, ambaye ndani yake kuna kusudi la Kiungu. Baadhi ya majukumu ya kanisa ni;
Ordination
Dr. Morris Cerrulo akimsimika Mtume na Nabii J.E Mwingira