Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Efatha Television

TUNAULETA ULIMWENGU KWA YESU

Efatha Televisheni

Efatha TV inakusudia kueneza Neno la Mungu kwa kila kiumbe ili kila mtu asikie kwani ”Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa Neno la Kristo” (Rumi 10:17)

Efatha TV ilianzishwa Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira ambaye ndiye mwanzilishi wa kanisa la Efatha Ulimwenguni.

Efatha TV sasa itakua inapatikana kwa uraisi tofauti na mwanzoni ambapo ililazimu mtu awe na Decoder yenye MPEG4 DVB S2. Kwa sasa yeyote mwenye Mpeg4 DVB S ataweza kuona Efatha TV kwa upande KU – band na C – band.

Hivyo wote watalazimika Ku search upya kupitia Frequency zilizotajwa hapo chini. Wale wenye madishi Makubwa ya ITV nao wata scan na Trenet itaingia bila tatizo.

C Band ina uwezo wa kuhimili hali ya hewa, vituo vyote vya Efatha watalazimika kufunga dishi la Futi 6 au 8 ili wasipate changamoto tena ya Tv kukata wakati wa ibada ya pamoja.

Pia Efatha TV inapatikana katika visimbusi vifuatavyo:

1. AZAM TV - Upande wa other chanel na 2. CONTINENTAL Decoder

”Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa Neno la Kristo” (Rumi 10:17)