Kusanyiko Kuu 2025
Precious Centre Kibaha Coast Region, Tanzania, United Republic ofMataifa Yanakusanyika Tanzania!!! Kutoka Sweden, Denmark, Botswana, Afrika Kusini na Kenya, watumishi wa Mungu wenye nguvu wanaungana na Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira kwa ajili ya Kusanyiko Kuu la wana Efatha 2025. Mafundisho yatakayobadili maisha yako kutoka kwa: Mchungaji Stefan Edefors- Sweden Dkt. Jens Garnfeldt & Rev. Dr. James Commey – Denmark Mtume Dr. Enock Sitima – Botswana AskofuThabo Masenya – South Africa Askofu Charles Kariuki – Kenya Tarehe: 6 - 12 Oktoba, 2025 Mahali: Precious Centre, Kibaha – Tanzania Kwa maelezo zaidi: (+255) 713 248 998
Free