Kusanyiko kuu 2024

Precious Centre Kibaha , Tanzania, United Republic of

THE ANNUAL GATHERING 2024 - PRECIOUS CENTRE KIBAHA Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira warmly invites people from all Nations, Tribes, and Tongues to attend the 2024 Annual Gathering, to be held at Precious Centre, Kibaha from 01-06 October 2024. This event will feature other anointed ministers whom God will use to nourish your spirit […]

Ibada ya mkesha wa mwaka mpya 2024/2025

Kanisa la Efatha mwenge Dar Dar es salaam, Tanzania, United Republic of

Hakika umekuwa ni mwaka wa kipekee sana kwangu na wewe, na ikiwa ni siku ya mwisho wa mwaka 2024, nakukaribisha katika Mkesha Maluum wa kufunga mwaka 2024 hapa Kanisa la Efatha Mwenge Dar es Salaam. Mkesha huu utakuwa ni wa muhimu sana kwani tutapokea Neno la kusimama nalo mwaka mpya tutakaoingia (2025) kutoka kwa Mtume […]

Free