NENO LA SIKU. Tarehe: 24/10/2023. Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. Zaburi 128:1-2 “Heri kila mtu amchaye
Nimepona miguu toka utotoni ilikuwa inavimba na kuuma sana
Naitwa Hapiness Shedrak napenda kumshukuru sana Mungu kwa kunikomboa kutoka katika kifungo cha magonjwa, tangu nilipokuwa mdogo niliugua
Nilikuwa ICU, Nimepona kwa neno Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.
Naitwa Leopadia George, namshukuru Mungu kwa matendo makuu anayofanya, nilifanyiwa upasuaji wa kuondoa kizazi, baada ya siku chache
Baada ya kuokoka Mungu ametusaidia mimi na mdogo wangu tumerudi shule.
Naitwa Peter Christopher napenda kumshukuru sana Mungu kwa matendo yake makuu katika maisha yangu na kwa familia yangu