NENO LA SIKU. Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha. Tarehe 17/10/2023. Mwanzo 1:27 “Mungu
Ukimtafuta Bwana Mungu wako utampata.
NENO LA SIKU. Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira – Kanisa la Efatha. Tarehe: 16/10/2023. Kumbu kumbu
Baada ya kuokoka hapa Efatha tatizo la kutoka damu mfululizo limeisha
Naitwa Monica Ambros, nilipata tatizo la kutokwa na damu mfululizo baada ya kujifungua kwa operation, damu ilikuwa nyingi
Mungu amewaokoa wazazi wangu walikuwa wanaamini sana ushirikina
Naitwa Patrick namshukuru Mungu kwa kuwaokoa wazazi wangu ambao walikuwa wanaamini sana nguvu za giza. Pia namshukuru sana
Apata haki yake baada ya kuuziwa shamba lenye mgogoro
USHUHUDA Naitwa Optatus Octavian, nilikuwa na mgogoro baada ya kununua shamba lenye ekari sabini (70) na shamba hilo
Mtoto wangu afunguliwa kutoka roho za kichawi
Naitwa Glory namshukuru sana Mungu wa Efatha kwa ajili ya mtoto wangu anaitwa Neema ambaye alikuwa akitumikishwa kwenye