Naitwa Peter Christopher napenda kumshukuru sana Mungu kwa matendo yake makuu katika maisha yangu na kwa familia yangu
Baada ya kuokoka hapa Efatha tatizo la kutoka damu mfululizo limeisha
Naitwa Monica Ambros, nilipata tatizo la kutokwa na damu mfululizo baada ya kujifungua kwa operation, damu ilikuwa nyingi
Mungu amewaokoa wazazi wangu walikuwa wanaamini sana ushirikina
Naitwa Patrick namshukuru Mungu kwa kuwaokoa wazazi wangu ambao walikuwa wanaamini sana nguvu za giza. Pia namshukuru sana
Apata haki yake baada ya kuuziwa shamba lenye mgogoro
USHUHUDA Naitwa Optatus Octavian, nilikuwa na mgogoro baada ya kununua shamba lenye ekari sabini (70) na shamba hilo