Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Utakatifu

NENO LA SIKU.
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha.
Tarehe 10/11/2023.
Zaburi 16:13 “Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.”
Mtakatifu ni wa thamani mbele za Mungu na Mungu anapendezwa naye. Macho ya Mungu siku zote yapo juu ya Watakatifu kwa sababu wanampendeza Yeye, hivyo wao ni wathamani sana Kwake. Kwa kawaida vitu vyako vya thamani kule nyumbani kwako unaviweka wapi? Lazima unaviweka mahali pazuri na pasiri na unavificha pia.
Ukiwa Mtakatifu wa Mungu wewe ni wa thamani sana mbele zake kwa maana hiyo kamwe huwezi kufa kwa ajali, magonjwa wala kitu chochote kile kwa sababu unafichwa mahali pa thamani na Mungu.
Watakatifu ni wakina nani? Ni wale wanaobeba Jina la Bwana, wanakuwa na Uwepo wa Mungu popote walipo, Uwepo wa Mungu unakuwa pamoja nao. Watakatifu ni wazungumzaji wazuri wa Ufalme wa Mbinguni.
Watakatifu wana upako wa kitume na hawapungukiwi chochote, kamwe hauwezi kuwatishia kwa lolote. Ukitaka kuwa salama uwe nao karibu na hautakufa kwa magonjwa au maradhi yoyote, hauwezi kuuwawa na wachawi, bunduki wala ajali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*