Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Ili uweze kubadili maisha yako badili namna ya kuongea kwako.

NENO LA SIKU.
Tarehe: 13/11/2023
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira
Wafilipi 4:13 “Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.”
Mwana wa Mungu inawezekana kubadilisha Maisha yako ikiwa utaamua kubadilisha Akili yako katika namna unavyofikiri, unavyowaza na hata kuongea. Watu wengi wanatamani wabarikiwe, wanatamani maisha yao yabadilike na wanatamani kuona Utukufu wa Mungu katika maisha yao; lakini wakati wote vinywa vyao vinanena tofauti na yale wanayoyataka yatokee kwao.
Hata kama jambo ni gumu kiasi gani usiwaze kuwa hauwezi, la! Sema naweza, hata kama unaona kabisa hakuna njia ya kutoka katika hilo jambo sema mimi naweza, hata kama madaktari wamekwambia haiwezekani wewe kuishi, sema mimi nitaishi. Fundisha kinywa chako kutangaza Ushindi, ifenye Akili yako ikubali Ushindi na maneno ya kinywa chako yatangaze Ushindi nao utakuwa wako. Ni kweli kabisa ni ngumu lakini inawezekana ikiwa utaamini na kuitendea kazi Imani yako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*