Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Kila jambo unalofanya utalitolea hesabu mbele za Mungu

NENO LA SIKU.
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha.
Tarehe 22/11/2023.
Mathayo 12:36-37 “Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.”
Hakuna jambo lolote hapa chini ya jua ambalo hautalitolea hesabu kwamba ulifanya katika wema au ubaya, ulifanya kwa ajili yako au kwa ajili ya watu, kwamba ulifanya kwa Mungu au kwa nani lazima utatolea hesabu kwa maana kila mmoja atavuna alichokipanda siku ya uhai wake.
Chochote unachokifanya iwe ni kwa kunena, kutenda au kuwaza siku ile ya mwisho utatolea hesabu kwa maana ndio utaratibu wa Mungu wetu aliyetuumba; kwamba kila mtu atatoa hesabu ya kile alichokifanya kipindi alipokuwa hai.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*