Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Ushuhuda

Naitwa Frank Mcha, mnamo tarehe 14 mwezi huu siku ya alhamisi majira ya saa tisa alasiri nikiwa nampeleka mke wangu hospitali ya Mloganzila kujifungua tukitokea kwa Mathias tulipofika maeneo ya kwa Mbonde, gafla dereva bodaboda alihama kutoka upande wake wa barabara na kuja upande wangu tuligongana uso kwa uso na gari yetu kupoteza muelekeo ikaingia kwenye mtaro na kupinduka juu chini kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.
Namshukuru Mungu wa Efatha kwa kupitia kinywa cha mtumishi wake Baba yetu Mtume na Nabii Josephat Mwingira alisema watoto wa Efatha hatutakufa kwa ajali na wala hatutaangamia na wanaoangamia.
Kwa neema ya Mungu tulitoka salama bila majeraha yoyote na mke wangu alipata msaada wakuwahi hospitali ya Tumbi na alijifungua salama na tumepata mtoto wa kiume, mama na mtoto wote wako salama wanaendelea vizuri. Narudisha sifa na utukufu kwa Mungu wangu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*