Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

MATARAJIO YA MUNGU KWAKO.

NENO LA SIKU.
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha.
Tarehe 9 /1/2024.
Kutoka 12:14 “Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaifanya iwe sikukuu kwa BWANA; mtaifanya iwe sikukuu katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele”.
Matarajio ya Mungu kwako yatakuwa maana Mungu alimtoa Yesu kuwa sadaka kwako ili uweze kuwa vile ambavyo unatakiwa kuwa na hakika utakuwa.
Mungu ana mpango wake juu yako, mpango huu ni wa milele na ulikuwepo kabla haujazaliwa, mpango huo hakuna aujuaye si baba yako, mama yako wala marafiki zako hawaujui bali Mungu anaujua na hakika utakuwa.
Ni kweli wamekusahau, wamekupuuza, hawakutambui au hauheshimiki lakini sasa ratiba ya Mungu kabla haujanyakuliwa itatimia kwako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*