Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Anza ndoa yako na BWANA

NENO LA SIKU
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira – Kanisa la Efatha
Tarehe 3/11/2023
Mwanzo 2:18″ BWANA Mungu akasema, si vema huyu mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.”
Mungu hazuii mtu kuolewa au kuoa mwenzi anayemtaka lakini sio kila mume au mke mtu amepewa na Bwana. Watu wanaofuata utaratibu wa Kiungu katika ndoa hata wakikosana hawata achana kwa sababu Bwana ataleta suluhisho.
Mkianza ndoa kwa utakatifu mtamaliza kwa utakatifu na ndoa za aina hii hata kama wanaanza bila kitu Watastawi na kuacha Baraka kwa uzao wao. Siri ya kuishi maisha matakatifu ni ili ustawi na hakuna kuzeeka bali kuna kuhuishwa kwani ni ahadi ya Mungu.
Hata hivyo ukianza ndoa vibaya unadhulumiwa haki yako ya kustawi, kwa hiyo usianze uchumba kwa kuzini huo ni ujinga na dhambi ambayo huzeesha. Ni vizuri ukaanza ndoa yako na Bwana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*