Na, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira- Kanisa la Efatha Matendo ya Mitume 2:38 “Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.” Kipawa...
More infoMWAKA WA KUMILIKI
Mwaka wa kumiliki ni wa msingi sana katika maisha yako, kwa sababu ukiwa na kitu cha kumiliki utambulisho wako pia unakuwa mkuu. Kama hauna chochote cha kumiliki hata utambulisho wako unakuwa mdogo sana, hivyo namna unavyomiliki ndivyo unavyokuwa...
More info