MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – KANISA LA EFATHA MWENGE. Tunapozungumzia mwaka wa kumiliki, tunapaswa kugundua nani ndiye mmiliki. Biblia inasema, “Mbingu na nchi na vyote viijazavyo ni vya Bwana.” Ikiwa mmiliki ni Mungu...
More infoMwaka wa kumiliki
Hatuendi kuabudu kwa sababu sisi tunataka, la! Bali ni amri na ni agizo la Mungu, kwa maana hiyo ili wewe uabudu unapaswa kuwa mtii katika hiyo amri, ukiabudu unaonyesha kuwa unamuheshimu Mungu na kumtii na hiyo inakuwa ni namna yako ya...
More infoKujitambua
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Tunaenda ibadani na kufanya kila kinachohusu kanisa, hayo yote ni maandalizi ya kwenda kule tunakotamani kwenda. Yesu aliweka mfano na kusema; Ufalme wa Mungu unafananishwa na wanawali kumi, watano wenye...
More infoUmiliki wa wana wa Mungu
KATIBU MKUU WA KANISA LA EFATHA PROFESSOR EMMANUEL CHAO Biblia inatukumbusha ya kwamba milki na urithi wote wa wana wa Mungu umefungwa ndani ya ufalme wa Mungu na hakuna chochote kinachoweza kupatikana nje ya huo ufalme. Unapozidi kuuelewa ufalme...
More infoSomo: Mwaka wa kumiliki
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – KANISA LA EFATHA SOMO: MWAKA WA KUMILIKI Mathayo 6:33 “Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Hii ina maana kuwa chochote ufanyacho kwanza tafuta ufalme wa...
More infoZiara ya Kitume katika kanisa la Efatha Bunju-Kinondoni
Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Yohana 14 “Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. Katika nyumba ya Baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia...
More infoLinda sana moyo wako
NENO LA SIKU. Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha. Mithali 4:23 “Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.” Mafanikio hayatokani na fedha unazozalisha, wala vitu...
More infoNi wakati wako wa kumiliki
NENO LA SIKU. Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha. Yohana 15:5 “ Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.” Ukikaa katika...
More infoWazo la Mungu kwako
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Wazo la Mungu kwetu lilikuwa ni hili; Mwanzo 1:26 “Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila...
More infoMshukuru Mungu kwa aliyokutendea
MTUME: ELIAKUNDA MWINGIRA Zaburi 34:1-4 “Nitamhimidi Bwana kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi. Mtukuzeni Bwana pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja...
More infoTenda kwa ushujaa na uhodari ili upate kumiliki
NENO LA SIKU Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha Tarehe 17/10/2024 Yoshua 1:7 “Uwe hodari tu na ushujaa mwingi, uangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu; usiiache, kwenda mkono wa...
More infoIli ufikie ndoto yako kuna gharama unapaswa kulipa
NENO LA SIKU. Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha. Tarehe 16/10/2024. Mathayo 24:13 “Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.” Wabeba ndoto wana vizuizi vingi sana kutoka kwa wapinzani wao...
More info