MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – KANISA LA EFATHA MWENGE. Tunapozungumzia mwaka wa kumiliki, tunapaswa kugundua nani ndiye mmiliki. Biblia inasema, “Mbingu na nchi na vyote viijazavyo ni vya Bwana.” Ikiwa mmiliki ni Mungu...
More infoMwaka wa kumiliki
Hatuendi kuabudu kwa sababu sisi tunataka, la! Bali ni amri na ni agizo la Mungu, kwa maana hiyo ili wewe uabudu unapaswa kuwa mtii katika hiyo amri, ukiabudu unaonyesha kuwa unamuheshimu Mungu na kumtii na hiyo inakuwa ni namna yako ya...
More infoMWAKA WA KUMILIKI
Mwaka wa kumiliki ni wa msingi sana katika maisha yako, kwa sababu ukiwa na kitu cha kumiliki utambulisho wako pia unakuwa mkuu. Kama hauna chochote cha kumiliki hata utambulisho wako unakuwa mdogo sana, hivyo namna unavyomiliki ndivyo unavyokuwa...
More infoKujitambua
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Tunaenda ibadani na kufanya kila kinachohusu kanisa, hayo yote ni maandalizi ya kwenda kule tunakotamani kwenda. Yesu aliweka mfano na kusema; Ufalme wa Mungu unafananishwa na wanawali kumi, watano wenye...
More infoUmiliki wa wana wa Mungu
KATIBU MKUU WA KANISA LA EFATHA PROFESSOR EMMANUEL CHAO Biblia inatukumbusha ya kwamba milki na urithi wote wa wana wa Mungu umefungwa ndani ya ufalme wa Mungu na hakuna chochote kinachoweza kupatikana nje ya huo ufalme. Unapozidi kuuelewa ufalme...
More infoSomo: Mwaka wa kumiliki
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – KANISA LA EFATHA SOMO: MWAKA WA KUMILIKI Mathayo 6:33 “Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Hii ina maana kuwa chochote ufanyacho kwanza tafuta ufalme wa...
More infoZiara ya Kitume katika kanisa la Efatha Bunju-Kinondoni
Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Yohana 14 “Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. Katika nyumba ya Baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia...
More infoWazo la Mungu kwako
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Wazo la Mungu kwetu lilikuwa ni hili; Mwanzo 1:26 “Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila...
More infoMshukuru Mungu kwa aliyokutendea
MTUME: ELIAKUNDA MWINGIRA Zaburi 34:1-4 “Nitamhimidi Bwana kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi. Mtukuzeni Bwana pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja...
More infoBaraka kutoka kwa Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.
Sasa ninaachilia baraka ambazo Mungu amenipa ili niweze kutembea nazo, zije juu yako kwa jina la Yesu Kristo. Neema ambayo Baba yangu wa Mbinguni amenipa, sasa nakuachia. Nakubariki ili asiwepo yeyote atakayesimama dhidi yako kwa jina la Yesu...
More infoBaraka kutoka kwa Askofu Charles Kariuki.
Isaya 55:12 “Kwa maana mtatoka kwa furaha, na kuongozwa kwa amani; milima na vilima vitashangilia mbele yenu, na miti yote ya shamba itapiga makofi.” Haya ndiyo yatakayokutokea baada ya mkutano huu; ulikuja na huzuni lakini utaondoka...
More infoMaswali ya muhimu
Biblia ina maswali madogo na maswali makubwa. 2 Wafalme 7:3: “Sasa kulikuwa na wanaume wanne wenye ukoma mlangoni pa jiji; walijulizana, ‘Kwa nini tukakaa hapa mpaka tufe?'” Huu ulikuwa ni swali kubwa lililoulizwa na wale...
More info