USHUHUDA. Naitwa Prof. Emmanuel Chao, ninapenda kumshukuru sana Mungu kwa kupanda cheo. Kuna mambo mengi ambayo Mungu amefanya
USHUHUDA:
Anaitwa Sheyla Shihoza, anapenda kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu aliyomtendea, alikaa katika gereza la Segerea kwa muda
Ushuhuda
Naitwa Nuru Mtoi, nilikaa muda mrefu bila kupata kazi, ilipofika mwaka 2020 niliweza kupata kazi na kufanya kwa
Ushuhuda
Naitwa Frank Mcha, mnamo tarehe 14 mwezi huu siku ya alhamisi majira ya saa tisa alasiri nikiwa nampeleka
Ushuhuda
USHUHUDA: MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Mimi pamoja na mke wangu tunapenda kumshukuru sana Mungu kwa kutujalia
Ushuhuda
Naitwa Lucy Nicetus, namshukuru sana Mungu kwa matendo yake makuu kwangu, kwanza napenda kumshukuru sana kwa kutimiza miaka
Ushuhuda
Naitwa Mchungaji Gerwin Lianjara, napenda kumshukuru sana Mungu kwa kuniponya; nakumbuka ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka huu baada
Amepona kifafa kwenye maombezi katika mkutano wa sifa Mererani..
USHUHUDA: Naitwa Musa Kibure, napenda kumshukuru sana Mungu kwa matendo yake makuu kwangu, nilipata tatizo la kifafa ukubwani,
Mnganga wa kienyeji aokoka baada ya kuhubiriwa akiwa gerezani
USHUHUDA Naitwa Malima Gambo, napenda kumshukuru sana Mungu kwa kuniokoa; tangu nilipokuwa mtoto mdogo nikiwa na umri wa
Mungu kamponya mume wangu ugonjwa wa akili
USHUHUDA Naitwa Neema Joshua napenda kumshukuru sana Mungu kwa matendo yake makuu kwangu. Ilikuwa ni siku ya tarehe