Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Funga ndoa na mtu unayempenda

NENO LA SIKU.
Na Mama Eliakunda Mwingira, Kanisa la Efatha.
Tarehe 17/11/2023.
Kijana ambaye unataka kuoa au kuolewa omba Mungu akupe Mtu sahihi ambaye mtatembea naye katika njia moja na siyo kufuata mali au Pesa.
Usiingie katika ndoa kwa tamaa au kwa sababu unataka kitu fulani la!, Ndoa ni ya muhimu sana na ni mali ya Mungu acheni kudanganyana.
Siku hizi watu wengi wanaoa na kuolewa na watu kwa tamaa ndio maana talaka zimekuwa nyingi sana. Oa au olewa na Mtu ambaye unampenda na Yeye anakupenda ili hata kama itatokea dhoruba ya aina gani katika maisha yenu muweze kusimama pamoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*