KWELI ILIYO MOYONI MWAKO.

KWELI ILIYO MOYONI MWAKO.

SOMO:

Zaburi 51:6 “Tazama wapendezwa na kweli iliyo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri”.

Hakuna kitu kibaya kama Moyoni mwako ukawa unahukumiwa na dhambi au tabia fulani ambayo Moyo wako unajua kabisa kuwa unayo, lakini wewe unakaza Moyo na kusema hapana mbona nipo sawa.

Fika mahali na uamue kukubaliana na hiyo hali unayoisikia ndani ya moyo wako kuwa tabia uliyonayo si sawa ili uweze kutoka hapo.

Ukifika mahali ukaweza kusimama katika kweli inayosema ndani ya Moyo wako haijalishi umefanya nini ndipo utaweza kubadilika.

MTUME BENSON KIKOTI – KANISA LA EFATHA MWENGE DAR ES SALAAM, TANZANIA.

Add Comment