Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

MAMBO YANAYOKUZUIA KUMILIKI YANATOKANA NA KUZALIWA KWAKO.

NENO LA SIKU.
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha.
Tarehe 12/1/2024.
Zaburi 11:3 “Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?
Mambo mengi yanayokutesa sasa ni yale yaliyopita na si yale unayoyaendea. Ni kweli unatamani kuwa na duka kubwa au nyumba kubwa lakini ukipata pesa tu ndipo matatizo yanaanza kujitokeza na kupelekea kuitumia hiyo pesa. Usiku na mchana unakuwa unajaribu kurekebisha yaliyopita na si kuwekeza kwa ajili ya yanayokuja. Unapoona hayo yote fahamu kuwa kuna mambo yanayokuzinga ambayo yanatokana na kuzaliwa kwako.
Kutoka katika hiyo hali ya maumivu na mateso inahitaji wewe kuamua kutoka kwani ukiamua unaweza. Lakini ukitaka kuishi kwa mazoea kamwe hautakaa utoke hapo kwa maana hiyo mamlaka inayokushikilia ina nguvu kuliko wewe.
TANGAZO
Nakutangazia leo, mamlaka yoyote inayokushikilia na inayotokana na kuzaliwa kwako ikakuachilie sasa kwa Jina la YESU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*