Mshukuru Mungu kwa aliyokutendea

Mshukuru Mungu kwa aliyokutendea
MTUME: ELIAKUNDA MWINGIRA
Zaburi 34:1-4 “Nitamhimidi Bwana kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi. Mtukuzeni Bwana pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja. Nalimtafuta Bwana akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote.”
Mungu ni mwema kwetu siku zote, tumekuja mbele zake kumshukuru kwa sababu ya yale aliyotutendea, yale yaliyokuwa yametukandamiza yameondolewa, aibu yetu imefutwa na ndiyo maana tunakila sababu ya kumshukuru.

Add Comment