Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

NENO LA SIKU.

Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira,
Tarehe 19/01/2024.
Wewe ni MSHINDI, nenda katamke kile unachotaka kuona kwa maana kile unachotaka kukiona kinatokana na kile ulichokisikia.
OMBI.
Eeh Bwana YESU kila ninachokwenda kusema ni kile ninachotaka kuona sawa sawa na nilivyosikia.
BARAKA.
Nafunga utendaji wa ibilisi kwako kuanzia hapa mpaka Uendako, Kazini kwako, kwenye Biashara zako, Kampuni yako, Kipato chako na kila mahali utakapokuwa, kila utakalowaza ambalo ni la kukupa faida likawe, kuanzia leo wazo ulilonalo liwe na kibali cha Mungu milele, Kazi yoyote unayoenda kuifanya ili ikupe Kipato, Furaha na Amani imeruhusiwa iwe na wewe, Hekima ya Mungu inayoruhusu wewe Umiliki kuanzia sasa inaenda kufanya kazi kwako siku zote za maisha yako.
Natangaza siku ya leo, yule aliyekuwa anatamani wewe siku zote ushindwe, Mungu ameshashughulika nae na kuanzia sasa utaona yale yaliyokuwa yanashindikana Yanawezekana kwako.
Kuanzia leo UKASTAWI, Kazi ya Mikono yako IMEBARIKIWA na Bwana na kila utakaloligusa likakuletee faida mara Mia zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*