Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Urejesho

NENO LA SIKU
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha
Tarehe: 15/12/2023
Yeremia 1:5 “ Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.”
Wakati upo tumboni mwa mama yako Mungu alikujua na aliandaa Baraka zako, ushindi wako na kila kitu unacho kihitaji katika maisha yako ambacho unapaswa kuwa nacho, kwa nini leo hii hauna? Kwa sababu wakati unatoka tumboni mwa mama yako ibilisi aliharibu vyote ndiyo maana upo hivyo ulivyo leo hii.
Yoeli 2:25-26 “Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi Jina la Bwana, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe.” Huu ni wakati wako wa Marejesho, pokea urejesho wa biashara yako, kazi za mikono yako, familia yako na chochote kile ambacho ibilisi alichokiiba au kuharibu katika maisha yako leo hii kikarejeshwe kwako kwa Jina la Yesu.
Yesu akisema ndio hakuna awezaye kusema hapana, huu ni wakati wako wa kufurahi mwanangu, Amini na Pokea .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*