Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Usikumbuke yaliyopita

NENO LA SIKU.
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira – Kanisa la Efatha.
Tarehe 4/11/2023.
Isaya 43: 18 “Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani”
Usikumbuke mambo yaliyopita uwe umezaliwa nje ya ndoa au magumu yoyote unayopitia, maana unapowaza hayo siyo ya imani, usitunge habari za kusikia kwa sababu yote yanawezekana ukiamini. Ukianguka amka jipanguse na songa mbele.
Huo sio mwisho wa maisha, kubiringika chini sio kwamba ndio mwisho wako, bado unapumua, inuka kabla inzi na mende hawajakupandia. Mtu asikwambie huwezi kufanikiwa kutokana na ulivyozaliwa bali akamweleze shetani aliyemtuma, kwamba, umeokoka umeoshwa kwa damu ya Mwanakondoo wa Mungu na Roho Mtakatifu yuko ndani yako. Anahuisha nafsi yako na Baba wa Mbinguni anakukubali.Utabarikiwa na ataona kwa macho yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*