Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

WAZALIWA WA MWEZI WA KWANZA, WA PILI NA WA TATU.

NENO LA SIKU.
Na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Kanisa la Efatha.
Tarehe 13/01/2024.
Watu waliozaliwa Mwezi wa Kwanza hadi wa Tatu hii ni mistari wanayotakiwa kuisoma sana kwa maana wao ni watu maalumu sana.
Zaburi 1:1-3 “Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.”
Kwa nini ni muhimu sana kwao? Kwa sababu wao ni Nuru kwa ajili ya familia zao. Kama ulizaliwa Mwezi wa Kwanza hadi wa Tatu wewe ni Nuru ya familia yako, kwa upande wa mama yako, baba yako na hata kwa wakwe zako. Kwa sababu wewe ni Nuru usijinajisi na ulimwengu.
Hata ukiangalia katika familia yako hakuna mwenye Akili kama wewe, katika familia yako, Je! ni nani yupo kama wewe?.
Kamwe usiruhusu maisha yako yahusishwe na maeneo haya matatu, usijihusishe na:
• Wasio haki.
• Wenye dhambi (wakosaji).
• Wenye mizaha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*